RAIS KIKWETE NA MAMA SALMA KIKWETE WAKIANGALIA MAVUNO YAO KATIKA GHALA LA MAZAO LILILOPO MSOGA
Rais Kikwete akiwa na mkewe pamoja na mjukuu wao Aziza Ridhiwani (3), wakiangalia mazao yao yaliyovunwa katika hsamba lao la mahindi lililopo Msoga nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam
No comments:
Post a Comment