Wednesday, May 30, 2012

MUHIMU: TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI!!! ZAIDI YA 2000

PRESIDENT’S OFFICE PUBLIC SERVICE RECRUITMENT SECRETARIAT
NB: This advert is also found in www.ajira.go.tz, www.utumishi.go.tz, www.pmoralg.go.tz, www.tpsc.go.tz, www.tfda.or.tz, www.gcla.go.tz, www.mot.go.tz, www.lst.ac.tz-lst, www.meteo.go.tz, www.orci.or.tz, www.muccobs.ac.tz, www.atc.ac.tz, www.sido.go.tz, www.necta.go.tz, www.osha.go.tz, www.tlsb.or.tz, www.dit.ac.tz, www.mist.ac.tz and www.aru.ac.tz.

84 comments:

 1. dah kwel ajira ngumu kwel tanzania ila na hujuma pia zimezid jaman

  ReplyDelete
 2. I DOUBTS THE EFFEECTIVENESS OF THIS MINISTRY TO HANDLE ALL THESE APPLICATION LETTERS FROM ALL OVER THE COUNTRY.TO WHAT EXTENT WILL THIS COMMISSION OF RECRUITMENT WILL BE EFFICIENT TO PASS THROUGH MORE THAN MILLIONS LETTERS,OTHERWISE THERE WILL BE BIAS AND A LOTS OF MEMOS

  ReplyDelete
 3. i beg to allow to use result slip because the certificate still present in the school with far causes is an issue please sir think for it and trace him or her live.

  ReplyDelete
 4. RUSHWA IMEZIDI KWENYE TUME HII YA AJIRA.NINAZO HABARI ZA KUAMINIKA KUWA ILIFANYIKA INTERVIEW YA PS KWENYE TACAIDS WAZIRI LUKUVI KAMTUMA MTU WAKE KAJA NA KIMEMO HIVI KWELI NI HALALI JAMANI.WATOTO WA WAKULIMA WATAKUMBWA KWA NAMNA HII RAIS INGILIA KATI.

  ReplyDelete
 5. mimi ningeomba hii tume iwe inaangalia watu walio maliza zamani jamani, mimi nimemaliza 2008 mpaka leo sina kazi na ninaitwa kwenye interview kila siku na hawa utumishi na kazi sipati, watu wamemaliza juzi tu wanapata kazi ukiuliza kiundani unakuta ni mtoto ambaye yupo kwenye system, kuweni na huruma jamani tunaumia sana mtaani. Mimi baba yangu alishafariki kitambo mama yangu ndio huyo anajitegemea na shughuli zake, sina mtu yoyote ninayemjua serikalini ambaye anaweza akaniandikia kimemo, mi kila siku kimemo changu ni mungu, naamini ipo siku nami nitapumzika kutafuta kazi.Ingiwa mipango yangu inaharibika kozi sina kazi, nimeomba hizo nafasi zilizotangazwa nahuwakika interview nitaitwa, kuhusu kupata kazi namwachia mungu ndio atajua.

  ReplyDelete
  Replies
  1. DONT EVER EVER EVER EVEEER GIVE UP ANONYMOUS...IF YOU BELIEVE IN GOD EVERYTHING IS POSSIBLE. MAY LET US SHARE SOMETHING IF YOU WILL NOT MIND.

   MY E-mail address is dmateni@yahoo.com

   Delete
 6. Mi ninaweza kumuunga mkono mwenza wa hapo juu, mi mwenyewe nilifanya hii interview ya PSPF sijawahi kufanya interview rahisi kama hiyo, kilichotokea kwani niliitwa, hata sijui waliajili lini?, nimesikia sikuhizi ni hivi mkulugenzi wa TRA anamstuwa mkurugenzi wa PSPF ampeleke mwanaye pale yaani wanachokifanya ni kama batter system fulani hivi ni mtindo wa kubadilishana tu, sio eti mkubwa wa nssf ampeleke mwanaye pale, hapana yeye anampasia mkubwa wa BOT ampokee mwanaye na wa BOT anaaenda NSSF, Sasa niambie sisi choka mbaya sijui tutaenda wapi

  ReplyDelete
 7. Ushauri wangu mimi kwa hii tume ni hivi, mtindo wa kuchukuwa majina yote ya application kuwaita kwenye interview sio kabisa, mnaitwa watu 10000 kwa nafasi 50 kweli hapao mnakuwa mafanya nini? hata hayao maswali sidhani kama mnayasahisha kwakweli, ningeomba hata msifanye interview kama rahisi wetu kiwkete alishasem akuhusu swala zima la interview mtu kasoma IT anamfanyia interview mtu wa Accounts? kweli inakuaja? anachokifanya yeye ni anasoma tu na atataka majibu yawe kama kwenye karatasi yake, naomba muiiboreshe hii tume kwakweli, anagalieni vyeti viko sawa hajafoji mpe kazi, na mnampa na probation ameshindwa kufanya kazi timueni ajili wengine, toweni kabisa swala la interview kozi ni danganya toto tu, watu mmeshawaandaa, wengine tunaenda basi kozi ni procedure kufanyia watu interview.

  ReplyDelete
 8. Sidhani kama kuna uhakiki wa kupitia barua zote,na hao wanaopitia barua wanalipwa na nani!ni watanzania maelfu kwa maelfu wanaomba kazi,nahisi tume hii imejaa rushwa na kufahamiana tu.

  ReplyDelete
 9. mhmm myasemayo SI UKWELI, AJIRA ZA SERIKALINI KAMA UNASIFA UWAGA HAWANAGA UKILITIMBA.

  ReplyDelete
 10. hivi zile nafasi za maafsa tarafa tayari waliitwa

  ReplyDelete
 11. yaan hali ya ajira kwa kwel ni tete hapa nchini! na shida yote hii inaletwa na rushwa na kujuana! je sisi watoto wa walala hoi tusiojulikana hatima yetu itakuwa nini? mtu unaomba kazi hata kuitwa tu kwenye usaili ni kazi! ee Mungu nisaidie! na hizo za afisa tarafa sijui n bado au watu ndo walishaitwa?

  ReplyDelete
 12. TUME ILITEGEMEWA KUTENDA HAKI BILA UBAGUZI KILICHOTOKEA WALIOMO KATIKA UTENDAJI KATIKA TUME WANATUMIWA KUWAFANYIAMPANGO WATU WAO AU KUPEWA FEDHA ISIYOPUNGUA MILIONI 2 ILI AJIRA APATE,HIVYO MATEGEMEO HALISI YA TUME KWA JAMII YANAPOTEA HAKUNA HAKI.KWA HALI HIYO SISI TUTOKAO KATIKA JAMII DUNI KIUCHUMI TUTAPATA KAZI?KUJIAJIRI MTAJI NI NGUMU,AJIRA NI ZA KUHONGANA NA KUPEANA TUTAKUWA WAGENI WA NANI KAMA TUME ISIPOTENDA HAKI? NAUNGANA NA WALIOTANGULIA KUSEMA AJIRA ZIANZE KUWEKWA KIPAUMBELE WALIOMALIZA ZAMANI MAANA UMRI WA KUAJIRIWA UNAPUNGUA KADIRI MUDA UNAVYOKWENDA HAMUONI TUME MNAKOSESHA HAKI YA KUTUMIKIA NCHI KWA SISI WASOMI KWA KUTOZINGATIA UMRI NA SIFA ZILIZOLENGWA? NAOMBA TUANGALIWE NA HAKI ITENDEKE

  ReplyDelete
 13. wizara ya mali asili na utalii hasa idara ya misitu na nyuki hivi jaman mbona mnapoteza pesa nyingi za serikari kusomesha watu harafu hamtoi ajira tangu mwaka 2010 mpaka leo utackia ajira 2 au 5 wakati waliosomeshwa na na serikari ni wengi,sasa bora mtoe tamko la mwisho watu wabadili fani.

  ReplyDelete
 14. Unajua nyie watu wa tume mnatuchanganya,mumetangaza nafasi za maafisa tarafa 145 hamjawaita kufanya usaili na kuwaajiri mkatangaza tena nafasi 2285 hizo pia hamja waita watu hivi sasa mnatangaza nafasi 569,mtaajiri lini mbona cku zinazidi kuyoyoma na watu hawaitwi?
  Nashindwa pia kuwaelewa yaani hata maafisa watendaji nao wanaomba kwenu badala ya nyinyi kuwapa kibali hizi halmashauri zetu,sasa kulikuwa na maana gani ya kuanzisha decentralization policy ikiwa hata kazi kama hii isiyokuwa na proffessionals pia mnaajiri nyinyi?
  Na wewe katibu wa hii tume kwanini unasema statement of results hazikubaliki wakati zina elements muhimu ama masomo uliosoma na jinsi ulivo score? kwani hufahamu kama watu wanasubiri wapate kazi ndipo waende wakachukue vyeti vyao huko vyuoni?
  Mujitahidi muendeshe mchakato mapema ili watu wajijue wanamama vipi kuliko wamekaa wanasubiri nyie tu.

  ReplyDelete
 15. mimi naona ni vema tume ijiuzulu kwa sababu hawana evaluation ya wanachokifanya.Naweza kusema ni mafisadi zaidi ya wale wa EPA coz wanasababisha mental confusion katika nchi yetu wenyewe.

  ReplyDelete
 16. NIMESOMA SOCIAL SCIENCE UDSM,BA Ed.Political science and Geography.Nina knoweledge kubwa katika LOCAL GOVERNMENT AND PUBLIC ADMINISTRATION lakini UAFISA TARAFA SIJAPATA WALA INTERVIEW SIJAITWA VYETI VYOTE NINAVYO,WALIOITWA WAO NI NANI?NA WANA SIFA GANI?KAMA KUFAULU NILIFAULU FORM SIX DIV.1,CHUO NINA 3.3GPAwith HONOURS, PIA MIMI YATIMA KITAMBO SIJIWEZI.solution msituni?

  ReplyDelete
 17. nikwel ajira zipo or just watu wanaitwa kama shoo kumbe wakuajiliwa washaandaliwa?

  ReplyDelete
 18. siyo rahisi tume kufanya kazi kwa umakini sababu watu ni wengi pia watachukuliwa watu wa dar tu sisi tunatoka kigoma mwisho wa reli hakuna anayenifahamu nani atanichagua tusidanganyane watoto wa watu wakubwa watafaidi tu.

  ReplyDelete
 19. Titizo ni mfumo kristo ndio maana ajira ngumu!

  ReplyDelete
 20. Mimi nashangaa sana hii tume hawako serious.

  ReplyDelete
 21. Nashauri kama tumeamua kufanya kazi basi tufanye kazi, vinginevyo mambo ya kizamani yaachwe vinginevyo tumzidishia tu stress Rais wetu, yani ina maana hata masuala ya tume aje asimamie yeye, atafanya mangapi. Kikubwa watu wawe wakweli, waaminifu na utaifa mbele.

  ReplyDelete
 22. hali ni mby sana jaman

  ReplyDelete
 23. Nashauri watu wenye mazingira magumu wafikiriwe kwanza ktk ajira za serikali. watu walete historia zao jinsi walivyosoma kabla ya kupewa hajira. Haiwezekani majina hayohayo ya wakubwa tumeyasikia tangu hatujaanza shule, watoto wao, wajukuu ndiyo wanapata nafasi za ajira serikalini na taasisi nyeti. Sisi watoto wa wakulima tuliosoma kwa ndg kuuza mihogo,nyanya vijijini hatuna hata mtu mmoja ambaye alishafanya kazi serikalini tumesaoma kwa shida bado maisha ni shida.
  Tume itufikirie tafadhali

  ReplyDelete
 24. jamani TZ niulaghai mtupu, ajira zinatangazwa kiushahidi tu, ila waajiriwa walisha julikana, swali langu ni! je, watoto wa maskini ninani atakaye wawezesha?

  ReplyDelete
 25. Kwakweli hali ni mbaya sana.Watoto wawakulima tukimbilie wapi?

  ReplyDelete
 26. Hizi ajira ziwe zina anzia Matangazo yake ngazi ya Kata hadi Mkoani na kuwe na muda wa kutosha kwa tangazo kutolewa hadi kufanya usahili, pia nafasi hizi zigawiwe kwa mikoa/ wilaya ili kuleta sura ya kitaifa zaidi laa sivyo watakuwa wanafaidi wajanja wachache.

  ReplyDelete
 27. mnapoajili watu kwa kuzingatia undugu na ukaribu wenu, Je ni lini umaskini utaisha katika Tanzania. Kumbukeni ipo siku wale wasionaajira watataka ajira kwa nguvu na hapo ndipo kutakuwepo kilio na kusaga meno.

  ReplyDelete
 28. hivi watu mnavyo ng'ang'ania hizo ajira za serikari, taasisi binafsi, na kn, bado tu hamja fanya tathmini ya how many graduate are there in the street? fanya diverst to joing u'r own business.

  ReplyDelete
 29. Kwakweli, ukilitimba ktk kuajiri upo, mtu ana-qualifications zote,lakini mnampiga chini. kweli watoto wa wakulima tutafika?

  ReplyDelete
 30. mh jamani hali nii mbaya sana ! kwanini ajira zinabaniwa kiasi hiki wakati watu tuna sifa na vigezovyote. maofisi yamejaa wazee kazi haziendi utendaji umezorota toeni wazee hao tuwekeni vijana tuchape kazi muone nchi itakavyoamka. tunaoumia sana mtaani.

  ReplyDelete
 31. tumetumia pesa nyingi sana kutuma maombi utakuta mtu unaqualfy katka nafasi zaidi ya 6 unajitahi kwa kuomba hata 5 ili angalau ubahatike mojawapo lakini bila bila.nshauri kuwepo na mail account ili tutume kuptia mtandao kuliko posta tunapoteza pesa bila mafanikio yoyote. acheni ubaguzi mnadidimiza taifa letu.

  ReplyDelete
 32. Ajira zinatolewa kweli au ni danganya toto tu,mbona watu tunaaply na kuaoly lakini hata kuitwa kwa usaili no whili sifa zote tunazo?au hayo matangazo ya kuitwa kwa usaili huwa yanapitia wapi?

  ReplyDelete
 33. mi nadhani hizo ni propaganda tu. na siku zote ng'ombe wa maskini hazai na maskini watabaki kuwa maskini na matajiri watabaki kuwa matajiri. kama ajira zipo kwa watu maalum na
  zani sisi maskini tusitegemee hapa.

  ReplyDelete
 34. MMH WENGINE NDO 2MEAMUA KUJITOLEA MANA AJIRA CKU HZ MPAKA HUWE NA EXPERIENCE....YAN CJUI 2NAENDA WAP?

  ReplyDelete
 35. jaman swala la ajira ni utata tusibishe,mi mwenyewe niliomba uhamiaji na vigezo vyote nilikuwa navyo mbona nimepigwa chinikama ni kweli hazina ukiritimba?

  ReplyDelete
 36. Hizi kazi zinatangazwa tu ili kuridhisha watu. Kiukweli hata wanaopata ajira wanakuwa hata hawajaomba na wala hawafanyi interview. Kumbukeni watu tunapoteza nauli , muda kwa ajili ya kuja kuwasindikiza wengine. This is not fare jamani.

  ReplyDelete
 37. hizi kazi za kujuana tu hapa Tz

  ReplyDelete
 38. bungen mnaongea nafac zimetoka nafas zenyew zip mbona mtu unamaliza mpaka mwaka unaisha ww ni enterview tu kufanya kuitwa huitw jaman tufikirien sana wanafunz

  ReplyDelete
 39. nashauri tumtegemee Mungu ktk kupata ajira mn kibinadamu haiwezekani ndani ya Bongo hii.

  ReplyDelete
 40. Ajira ngumu hata kama zinatangazwa.sababu kubwa ni pale mwombaji anaitwa kwenye usaili Dar es salaam na mtu atoke shirati,ngara,bariadi na sehemu kama hizo atawezaje kufika na kazi yenyewe labda mlinzi//msaidizi wa ofisi//dreva// wote hata shule ni ya chini//zaidi walemavu wanakumbukwaje?ushauri interview zipangwe ki mikoa ama kikanda zisaidie waombaji kuhudhuria

  ReplyDelete
 41. In fact,kazi ipo and i dont know where we are heading to....

  ReplyDelete
 42. Lily natafuta ajira ktk ajira ya secretary kwa mawasiliano zaidi 0716787331

  ReplyDelete
  Replies
  1. natafuta ajira utande wa photoshop na cover disgne

   Delete
 43. Nauliza kazi za afisa tarafa usaili ulishafanyika? Naomba taarifa katika hili, kama bado majina ya kuitwa kwenye usaili yatatoka lini?

  Pia kazi zinazotangazwa experience miaka 5 au 10 tutatoa wapi hasa kwa sisi wahitimu ambao hatujawahi kufanya kazi na ndio tumemaliza vyuo? Serikali iliangalie hili jamani tunateseka mitaani.

  ReplyDelete
 44. du inatisha ajira ni pesa yako bunge limekua danya toto kumpiga na unampa pipi au intervy ndio ajira??????

  ReplyDelete
 45. mimi sipend kwel yan system ya tanzania ilivo, yan imefikia mahali ajira ni ngumu hadi ikitangazwa nafasi ya kazi ya m2 wa diploma yan had m2 wa masters utaona application yake..jama hii ni haki kwel, Tanzania inaenda wap alaf utaona kila ck matangazo ya ajira ss kwa nin msiwaajir haooo.. sensa yenyew mme2chakachua me cjui kwa nin mli2ambia 2aply ku2potezea 2 hela ze2 za photocopy na passport za express,

  ReplyDelete
 46. ajira tanzania hii zinapatikana kwa kujuana hata kama mtu hana vigezo yupo kazini jamani

  ReplyDelete
 47. ajira bado nikujuana tu sisi tusio julikana tuna kazi ya ziada sana

  ReplyDelete
  Replies
  1. Sekta ya ajira muwe mwkini katika kuangalia haya.naomba muangalie sana siku za nyuma kuliko siku z usoni.

   Delete
 48. Kupata field tu inshu sijui kwenye kuomba kazi itakuwa je?...Wote tuliopata field huku kwenye migodi yetu ya dhahabu ni lazima uwe na mtu wa kukushika mkono else inakula kwako! DONT GIVE PLAY YO PART OUR HEAVENLY FATHER WILL DO THE REST

  ReplyDelete
 49. kweli yaani it's 2 danger kwa taifa, mimi mwenyewe natafuta kazi,hapo utumishi ni kama posta huwa hawachukuicv zangu.

  tatzo si watoto wa vigogo, ila ni wale wenye mandate ya kuajiri, kupungukiwa kiwango cha hekima na maadili,usipopokea rushwa kwani utakufa? mbona wasio na kitu wanaishi. yaani hata sh 50,000 zinaishawishi nafsi ya mtu anayepata mshahara wa sh laki 7, kweli hii si tamaa bali ni rahana

  ReplyDelete
 50. kwa kweli maisha ya TZ ni kama kamali,kikubwa cha kushukuru ni amani tuliyonayo tu na si kitu kingine,ninachoomba kwa serikali ni kurahisisha mchakato wa mtu kufungua kampuni yake binafsi,bila kufuatanafutana kama fisi mwenye njaa,alafu kuhusu ajira waache wagawane wao na shangazi zao,maana tumechoka kuomba kazi na kunyenyekea watu wasiojua wajibu wao......

  ReplyDelete
 51. hivi hii nchi inaenda wapi,nadhani watu wameshasahau wajibu wao,nyinyi vinaja munaomaliza vyuo,lazima muwe na approach zaidi ya moja sio tu kuajiriwa na serikali,kwani wanaopata ajira siku zote ni watoto wa vigogo na wanasiasa tu,sisi maskini wapi.ninachowashauri vijana wenzangu ni kuhakikisha unapokua chuoni soma kila kitu,usibague somo kwani laweza kua msaada mkubwa kwako na maisha yako ya baadae,to own u are own bussiness is most important,than to be slave to some one.

  ReplyDelete
 52. SERIKALI INATOA PRIORITY KWA MASOMO YA SAYANSI HUKU IKISAHAU NI WAPI WATU HAWA WATAAJIRIWA...KATIKA NCHI HII YENYE UBINAFSI KATIKA KUAJIRI WATU KWA KUJUANA....UKIZINGATIA WATOTO WASIO NA NDUGU SERIKALINI NDIO WALIOJUKUA MASOMO HAYO..KUMBUKA UNAPOMPA MWANAO ELIMU SIKU MOJA ATATAKA KUFANYA KAZI NA SIO KUOMBAOMBA, AU KUKUTEGEMEA WEWE MZAZI...TANZANIA SIO KWAMBA HAKUNA NAFASI ZA KAZI..ILA FAMILIA MOJA INATAKA KUSHIKA NAFASI ZOTE..NDIO MAANA HAYATI NYERERE ALIKEMEA UKABILA,UDINI N.K KATIKA NCHI YAKE

  ReplyDelete
 53. miminishachoka jamani looooh.ujanja ni kujiajiri tu na wakae wakijua wez wataendelea kuwepo,wavta unga na wategemezi.maana cfa watu wanazo lakini ajira hakuna.presdent liangalie hili kwa jicho la nne ufisadi umezidi viongozi wa tume sio wazalendo.

  ReplyDelete
 54. Hey Tanzanian don't give up bana, ajira zipo kabisa mbona mi nimepata na sikuwa hata na huyo refa mnayemzungumzia. Mtumainie mungu kwani kama una una imani ya kweli unaweza hata kuamisha mlima.

  ReplyDelete
 55. Aaron Athanas Mwinyi MwilongoSeptember 29, 2012 at 11:36 PM

  KUSEMA KWELI SISI SOTE WALAMIKAJI TUNGEKUWA NA MSISITIZO HUU HATA KWENYE SUALA LA ELIMU HAKIKA TANZANIA INGEKUWA MFANO WA KUIGWA DUNIANI,,,, UPENDELEO UMEANDALIWA NA MAZINGIRA YETU SISI WENYEWE HASA KWA KUONA MAMBO YANATENDEKA LAKINI TUNAKAA KIMYA,, ME NITAKWENDA KWENYE INTERVIEW NA NINAUHAKIKA LAZIMA NIPATE KAZI JAPO ME NI MASIKINI NA TENA SINA HATA NDUGU NINAYEMTEGEMEA LAKINI NAJUA NINACHOKIFANYA,, NA UWEZO WANGU WA KUJITUMA UTANIBEBA SANA

  ReplyDelete
 56. Jamani ukipata kazi ni kumshukuru Mungu sana,Rushwa Tanzania hii haiwezi kuisha hata kidogo,cha msingi tuvumilie kama Mungu alipanga upate kazi utapata tu hata kama ni kwa kuchelewa na utafanya mambo makubwa.Hii tume mpaka sahvi mm siwaelewi kinachoendelea,naona kama imekuwa chanzo kubwa ya kuchelewesha maendeleo kama hamna pesa za kuwa ajiri watu mnatangaza mikazi ya nini mpaka sasa hakuna cha interview wala nini,natamani kama ningezaliwa hata china naona ningekuwa nimepata kazi hko china hata ya kuchuma matunda.

  ReplyDelete
 57. Tendeni haki jamani katika kutoa ajira. Kwa nini tunasumbuliwa sana na hata kukata tamaa.

  ReplyDelete
 58. hawa wanataka 2we majambazi maana wa2 wamesoma ajira hamna ,istoshe 2liomaliza zamani hamna ajiri watoto wajuz wanapata iyo haki,pia umri zingatieni wengne kitambo kwnye gme 2naxota tu 2peni ajira umri unaenda bhana.

  ReplyDelete
 59. KURA? KURA? KURA? TUFANYE MAAMUZI MAGUMU 2012

  ReplyDelete
 60. kwakweli tume ijitahidi kua fair kwan bado swala la ajira kwa watu wa chini bado ligumu

  ReplyDelete
 61. T
  umtegemee MUNGU kwani yeye ndo maisha yetu,ila serikali yetu ikubali kukosolewa.

  ReplyDelete
 62. TANGAZO LA INTERVIEW LA TAR 8 DEC, WENGINE HATUKULIONA KABISA NAHISI KULIKUWA NA ZENGWE KATIKATI, NA INGEKUWA VYEMA KAMA MATANGAZO YANGEKUWA YANATOLEWA WIKI 2 AU ZAIDI KABLA YA TUKIO. VINGINEVYO MNATUUMIZA SISI WA VIJIJINI AMBAPO HATA MITANDAO YA INTERNET INATETELEKA AU HAFIFU.

  ReplyDelete
 63. DAH KWELI UKOSEFU WA AJIRA NI BOMU LINALOKARIBIA KULIPUKA,NANUKUU


  ReplyDelete
 64. mi sina la kusem kwa sababu yote ni ya ukwei ;undugu nazeshen umetawala.msipo rekebisha tunakokwenda ni kubaya.aliyo nacho ataendelea kuwa nacho,asiye nacho ataendelea hivyo mpaka kufa kwake.sisi watoto wa wakulima tuendeleze kilimo tusitegeme ajira serekalini.vimemo ktk interview ni kawaida inabid hii hali tuizoee.

  ReplyDelete
 65. Ni kweli ajira zinazingua, undugu ,ruswa navyo vinaongoza katika nch yetu ila 2ckate tamaa ndugu zangu kama ipo ipo2 waacheni wa2pige mateke kama mpira ipo siku mugu ata2fungulia njia .

  ReplyDelete
 66. Kuna jamaa hapo juu anadai tatizo la ajira ni issue ya mfumo kristo,Mi naona Mjinga ndio maana hapati ajira,ana fikra duni,arudi dalasa la kwanza,vilevile sio Mtanzania ndio wanaofanya mauaji Zanzibar hawa wanatakiwa kusakwa na kuteketezwa kabisa,Mimi sina dini ila kauli hii imeniboa,kwani inaweza sababisha nikasota zaidi mtaani bila jira,kwani badala ya serikali kuajiri itatumia pesa hizo amabazo ningelipwa katika ajira,kuundia tume ya kupeleleza mauji,hivo tuwe makini,matatizo mengine tusiyasababishe kwani yatatucost wenyewe kwa njia moja au nyingine,pesa ya kodi ya wananchi ndio itatatua migogoro hiyo.tudumishe amani.

  ReplyDelete
 67. I think this is among the most significant information for me.
  And i am satisfied studying your article. But wanna observation on some basic issues, The web
  site taste is great, the articles is actually excellent : D.
  Just right task, cheers

  Check out my web page: green smoke

  ReplyDelete
 68. sioni uhuhim kuwa na vyuo vying tanzania ambavyo havina manufaa kwe2 kama ajira hakuna vyuo vya nn, viwepo vya kilimo2 basi, vingine vifutwe vyote, kazi hakuna kila siku mnaunda tume2 kama si kumaliza pesa2

  ReplyDelete
 69. Tufanye mambo yoooooooote, lakini ukweli unaama sana pale unackia mtu una elimu ya kutosha/sifa za kielimu kuweza kuajiliwa, unatuma maombi ya kazi tajwa serikalini ukiwa umeambatanisha nakala za vyeti LAKINI stil hata ktk interview huitwi""" Ukizingatia Unatumia gharama nyingi hadi kutuma barua hizo utumishi-Tanzania.

  ReplyDelete
 70. I always used to study piece of writing in news papers but now as I am a user of internet
  thus from now I am using net for articles, thanks to web.


  Take a look at my webpage; www.dl.free.fr

  ReplyDelete
 71. If you want to obtain a great deal from this paragraph then you have to apply such techniques to your won web site.


  My web page :: laptop cases best buy

  ReplyDelete
 72. Thеre is а tantra Teacher with an in-dеpth knowledge of уour Еnеrgу Bodies where
  houгs anԁ houгs, іt falls apart. Staff in а Tantrа MаssagеDеpеnding оn what the couрle wants.

  This four-ѕtar spa has a nursing backgrоunԁ and еxplаined hоw it's painless, easy and non-surgical.

  Here is my web site acupuncture

  ReplyDelete
 73. kweli c chokambaya 2nakazi

  ReplyDelete
 74. kweli kabisa yan tuna teseka na hajira jaman tuoneeni huruma jaman tunaumia wana wa utumishi


  ReplyDelete
 75. I know this web site presents quality based posts and additional stuff, is there
  any other site which offers these kinds of data in quality?  Here is my webpage :: just click the next web site

  ReplyDelete
 76. I гaгely leave a resρonse, however i did some searchіng and wound up herе "MUHIMU: TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI!!! ZAIDI YA 2000".

  And I do have a couplе of quеstions foг yοu if yоu usuаlly do not mind.
  Could it be only me or dоes it lοok liκe a feω of
  thеse cοmments come across as if theу
  are left by brain dead ѵisitoгѕ? :-P Αnԁ, if уou are posting аt additіonal οnline soсiаl sites,
  Ӏ'd like to keep up with anything new you have to post. Would you make a list of the complete urls of all your community pages like your twitter feed, Facebook page or linkedin profile?

  Here is my web-site; Malawivoice.Com

  ReplyDelete
 77. I think that everything said was actually very
  logical. But, what about this? what if you added a little information?
  I am not suggesting your content is not good.
  , however what if you added a headline to maybe get folk's attention? I mean "MUHIMU: TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI!!! ZAIDI YA 2000" is a little boring. You might look at Yahoo's home page and see how they write
  post headlines to grab viewers to click. You might
  try adding a video or a related pic or two to get readers excited about everything've got to say. Just my opinion, it could make your blog a little bit more interesting.

  my site wiki.odessanews.biz

  ReplyDelete
 78. Hello, i think that i saw you visited my blog thus i came to “return the
  favor”.I am trying to find things to enhance my web
  site!I suppose its ok to use a few of your ideas!!

  my site :: http://mac2null.net/

  ReplyDelete
 79. kweli jaman swala laajira ni tatizo kwa watoto wa wakulima, koz bila referee wa serikalini utasota sana tu

  ReplyDelete
 80. Hello, naitwa Benjamin Vicent Njau from Dar es Salaam Tz, tatizo la ajira lipo kwani hata kungekuwa na ajira ngapi bado isingeweza kutosheleza, hivyo kikubwa ni kwamba kwa kuwa tatizo ni ajira basi inatupasa sote tunaotafuta ajira ni vyema tukajiajiri sisi wenyewe kwani kuna sekta nyinyi sana za kuweza kujiajiri ikiwemo sekta ya kiliomo,. huo ni mtizamo wangu tuu dada yangu joyce.

  ReplyDelete

Toa maoni yako, epuka lugha ya matusi!

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...